IQNA

Bunge la Morocco lajadili uendelezaji wa Mafunzo ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu

Bunge la Morocco lajadili uendelezaji wa Mafunzo ya Kuhifadhi Qur’ani Tukufu

IQNA – Bunge la Morocco limefanya kikao maalumu kujadili hali ya taasisi na vituo vya Qur’ani vilivyobobea nchini humo katika kuendeleza elimu ya wahifadhi wa Qur’ani Tukufu.
15:37 , 2025 Dec 05
Usajili wa Wanafunzi wa Kigeni wa Al-Azhar kwa Mashindano ya Qur’ani ya Port Said

Usajili wa Wanafunzi wa Kigeni wa Al-Azhar kwa Mashindano ya Qur’ani ya Port Said

IQNA – Usajili wa wanafunzi wa kigeni wa Chuo Kikuu cha Al-Azhar kwa mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur’ani mjini Port Said umeanza rasmi.
15:29 , 2025 Dec 05
Al-Azhar: Abdul Basit Alikuwa Balozi wa Qur’ani

Al-Azhar: Abdul Basit Alikuwa Balozi wa Qur’ani

IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri kimemuelezea marehemu qari mashuhuri Ustadh Abdul Basit Abdul Samad kuwa balozi wa Qur’ani Tukufu.
16:40 , 2025 Dec 04
Ayatullah Khamenei: Tafsiri inayotoa Qur'ani kuhusu mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na kimaendeleo

Ayatullah Khamenei: Tafsiri inayotoa Qur'ani kuhusu mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na kimaendeleo

IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, hadhi ya wanawake katika Uislamu ni tukufu na ya juu mno na akaongeza kwamba: "tafsiri inayotoa Qur'ani Tukufu kuhusu utambulisho na shakhsia ya mwanamke ni ya juu zaidi kiutukufu na ya kimaendeleo zaidi."
15:21 , 2025 Dec 04
Mkutano wa Dunia wa Qur’ani 2025  jijini Kuala Lumpur

Mkutano wa Dunia wa Qur’ani 2025 jijini Kuala Lumpur

IQNA – Mkutano wa Dunia wa Qur’ani 2025 ukifunguliwa Kuala Lumpur mwishoni mwa wiki hii, ukitoa jukwaa la mazungumzo kati ya ujuzi wa kielimu wa kiroho na vitendo vya kiviwanda.
15:20 , 2025 Dec 03
Libya kuchapisha tena Mus’haf wa Taifa

Libya kuchapisha tena Mus’haf wa Taifa

IQNA – Mwenyekiti wa Kamati ya Qur’ani ya Jumuiya ya Ulinganiaji wa Kiislamu nchini Libya ametangaza kuchapishwa upya kwa Qur’ani ya taifa (Mus’haf wa Taifa wa Libya) kwa ajili ya kusambazwa bure kwa wananchi.
15:15 , 2025 Dec 03
Marufuku ya Hijabu kwa majaji Ujerumani yazua mjadala wa uhuru wa Kidini

Marufuku ya Hijabu kwa majaji Ujerumani yazua mjadala wa uhuru wa Kidini

IQNA – Kwa maamuzi kwamba Hijabu inapunguza taswira ya kutokuwa na upendeleo wa mahakama, jopo la majaji nchini Ujerumani limezuia mwanamke Mwislamu kuhudumu kama jaji.
15:06 , 2025 Dec 03
Tuzo ya dunia ya Imam Khomeini mjini Tehran kushirikisha wanazuoni kutoka nchi 13

Tuzo ya dunia ya Imam Khomeini mjini Tehran kushirikisha wanazuoni kutoka nchi 13

IQNA – Shirika la Utamaduni na Mahusiano ya Kiislamu (ICRO) mjini Tehran litakuwa mwenyeji wa moja ya matukio makubwa ya kielimu na kiutamaduni ya mwaka huu mwishoni mwa mwezi huu.
14:56 , 2025 Dec 03
Nchi 72 kushiriki Fainali za Mashindano ya Qur’ani ya Kimataifa nchini Misri

Nchi 72 kushiriki Fainali za Mashindano ya Qur’ani ya Kimataifa nchini Misri

IQNA – Hatua ya mwisho ya mashindano ya 32 ya Qur’ani Tukufu nchini Misri itafanyika katika ardhi hiyo ya Kiarabu kwa ushiriki wa washindani 158 kutoka nchi 72.
14:53 , 2025 Dec 03
Qiraa ya kihistoria ya Qur'ani ya Ustadh Abdul Basit Katika Haram ya Kadhimiya, Iraq

Qiraa ya kihistoria ya Qur'ani ya Ustadh Abdul Basit Katika Haram ya Kadhimiya, Iraq

IQNA – Moja ya kumbukumbu za kipekee katika ulimwengu wa Qur’ani ni usomaji wa kihistoria wa qari mashuhuri wa Misri, marehemu Ustadh Abdul Basit Abdul Samad, katika Haram ya Imam Musa Kadhim (AS) mjini Kadhimiya, Baghdad, mwaka 1956.
20:16 , 2025 Dec 02
Baraza la Waislamu Ufaransa Lalaani Udhalilishaji wa Qur’ani Katika Msikiti

Baraza la Waislamu Ufaransa Lalaani Udhalilishaji wa Qur’ani Katika Msikiti

IQNA – Baraza Kuu la Waislamu Ufaransa (CFCM) limesema waumini wameshtushwa na kuumizwa sana baada ya mtu kuvamia msikiti ulioko kusini-kati mwa Ufaransa na kurarua nakala za Qur’ani Tukufu kisha kuzitupa chini.
20:11 , 2025 Dec 02
Mashindano ya Kitaifa ya Usomaji Qur’ani Yazinduliwa Algeria

Mashindano ya Kitaifa ya Usomaji Qur’ani Yazinduliwa Algeria

IQNA – Toleo la 21 la mashindano ya kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Algeria limeanza rasmi Jumatatu.
20:05 , 2025 Dec 02
Papa asikiliza Biblia na Qur’ani katika mkutano wa kidini Beirut

Papa asikiliza Biblia na Qur’ani katika mkutano wa kidini Beirut

IQNA – Papa Leo XIV amehudhuria mkutano wa dini mbalimbali uliofanyika katika Uwanja wa Mashahidi jijini Beirut, ambapo walikusanyika mapatriaki wa Kikristo wa Lebanon pamoja na viongozi wa Kiroho wa Kiislamu wa madhehebu ya Sunni na Shia na halikadhalika dini ya Druze chini ya hema moja.
20:02 , 2025 Dec 02
Misri yaunda kamati ya kufuatilia utendaji wa makari wa Qur’ani

Misri yaunda kamati ya kufuatilia utendaji wa makari wa Qur’ani

IQNA – Umoja wa Makari na Wahifadhi wa Qur’ani Tukufu nchini Misri umetangaza kuundwa kwa kamati maalum itakayoshughulikia ufuatiliaji wa utendaji wa makari na kushughulikia malalamiko yanayohusu usomaji wao.
19:56 , 2025 Dec 02
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kenya yaanza

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Kenya yaanza

IQNA – Fainali ya mashindano ya kimataifa kuhifadhi Qur’ani kwa wanaume imeanza leo jijini Nairobi, Kenya.
14:58 , 2025 Dec 01
4