IQNA

Wairani waadhimisha Siku ya Arubaini tangu Mazishi ya Kiongozi Shahidi

Wairani waadhimisha Siku ya Arubaini tangu Mazishi ya Kiongozi Shahidi

IQNA – Hafla ya Khitma kwa ajili ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ilifanyika mjini Tehran Jumanne jioni, ikiwa ni siku ya arubaini tangu kuzikwa kwake.
13:30 , 2026 Aug 19
Watu Kadhaa Wakamatwa Dearborn, Marekani kufuatia uchochezi wa aliyeivunjia heshima Qur’ani

Watu Kadhaa Wakamatwa Dearborn, Marekani kufuatia uchochezi wa aliyeivunjia heshima Qur’ani

IQNA – Polisi wamewakamata watu kadhaa katika mji wa Dearborn, jimbo la Michigan nchini Marekani, baada ya maandamano dhidi ya Uislamu kuwaleta pamoja mamia ya waandamanaji wa kupinga maandamano hayo na kusababisha kuimarishwa kwa ulinzi.
13:18 , 2026 Aug 19
Misikiti ya kihistoria ya Kosovo  ni hazina ya kumbukumbu ya kitaifa

Misikiti ya kihistoria ya Kosovo ni hazina ya kumbukumbu ya kitaifa

IQNA – Misikiti ya kihistoria nchini Kosovo inapaswa kutazamwa kama sehemu ya msingi ya urithi wa kiutamaduni na kihistoria wa taifa hilo, si kama maeneo ya ibada pekee, afisa mmoja wa Jumuiya ya Kiislamu amesema.
13:07 , 2026 Aug 19
Kozi ya mafunzo kwa waamuzi wa Mashindano ya Qur’ani Yafikia Tamati Nchini Iraq

Kozi ya mafunzo kwa waamuzi wa Mashindano ya Qur’ani Yafikia Tamati Nchini Iraq

IQNA – Kozi maalum ya maandalizi ya waamuzi wa mashindano ya Qur’ani nchini Iraq imefikia tamati kwa hafla adhimu.
12:55 , 2026 Aug 19
Waziri wa Elimu wa Misri asisitiza kuhifadhi Qur’ani kwa wanafunzi wa shule za msingi

Waziri wa Elimu wa Misri asisitiza kuhifadhi Qur’ani kwa wanafunzi wa shule za msingi

IQNA – Waziri wa Elimu wa Misri amesisitiza umuhimu wa kujenga uhusiano imara kati ya wanafunzi na Qur’ani tangu miaka ya mwanzo ya elimu.
16:25 , 2026 Aug 18
Pogba, nyota wa soka wa Ufaransa aonyesha mshikamano na Gaza

Pogba, nyota wa soka wa Ufaransa aonyesha mshikamano na Gaza

IQNA – Paul Pogba, nyota wa soka wa Ufaransa, ameonyesha mshikamano na Wapalestina wa Ukanda wa Gaza, wanaokabiliwa na mauaj ya kimbari ya Israel, kwa kuposti picha ya mtoto wa Kipalestina akiwa miongoni mwa vifusi na uharibifu wa Gaza kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram.
16:13 , 2026 Aug 18
Misri kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya usomaji wa Qur’ani

Misri kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya usomaji wa Qur’ani

IQNA – Siku ya Kimataifa ya Usomaji wa Qur’ani itaadhimishwa baadaye mwezi huu chini ya usimamizi wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri.
16:09 , 2026 Aug 18
Upanuzi wa Programu ya Kuhifadhi Qur’ani katika ajenda ya Malaysia

Upanuzi wa Programu ya Kuhifadhi Qur’ani katika ajenda ya Malaysia

IQNA – Afisa mmoja wa ngazi ya juu nchini Malaysia amesema kuwa programu ya kuhifadhi Qur’ani katika shule za chekechea chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii (Kemas) itapanuliwa kuanzia mwakani.
15:54 , 2026 Aug 18
Wageni wa Makkah Waalikwa Kutembelea Maonyesho ya Msikiti Mkuu (Masjid al-Haram)

Wageni wa Makkah Waalikwa Kutembelea Maonyesho ya Msikiti Mkuu (Masjid al-Haram)

IQNA – Wageni wanaozuru mji mtukufu wa Makkah wamealikwa kutembelea maonyesho yanayoangazia huduma na uangalizi unaotolewa katika Msikiti Mtukufu wa Makkah (Masjid al-Haram).
15:45 , 2026 Aug 18
Qur’ani Tukufu Yatuamuru Tuwe na Subira

Qur’ani Tukufu Yatuamuru Tuwe na Subira

IQNA – Qur’ani Tukufu, kitabu cha uongofu na mwamko wa mwanadamu, inatoa jumbe zilizo wazi na zenye kutoa nuru katika aya zake kwa nyakati zote na kwa watu wote.
15:34 , 2026 Aug 18
Idadi kubwa zaidi ya wageni kwa siku moja imerekodiwa katika Kituo cha Uchapishaji wa Qur’an cha Madina

Idadi kubwa zaidi ya wageni kwa siku moja imerekodiwa katika Kituo cha Uchapishaji wa Qur’an cha Madina

IQNA – Zaidi ya watu 10,000 wametembelea Kituo cha Uchapishaji wa Qur’an Tukufu cha Mfalme Fahd kilichopo Madina wiki iliyopita.
18:24 , 2026 Aug 17
Mashindano ya Qur’an ya Mtume Mtukufu (SAW) kwa wanafunzi wa kike yafunguliwa Sana’a

Mashindano ya Qur’an ya Mtume Mtukufu (SAW) kwa wanafunzi wa kike yafunguliwa Sana’a

IQNA – Mashindano ya Qur'ani ya kila mwaka ya “Al-Rasoul Al-Aazam” (Mtume Mtukufu SAW) yamefunguliwa katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a, siku ya Jumapili kwa mnasaba wa Milad un Nabii.
18:23 , 2026 Aug 17
Hotuba za Kihistoria za Maimamu wakuu wa Al-Azhar zitapeperushwa kupitia Idhaa ya Qur’an ya Misri

Hotuba za Kihistoria za Maimamu wakuu wa Al-Azhar zitapeperushwa kupitia Idhaa ya Qur’an ya Misri

IQNA – Shirika la Kitaifa la Vyombo vya Habari la Misri limetangaza kuzinduliwa kwa kipindi kipya chenye kichwa cha habari “Imam Mkuu”, kilichotengwa mahususi kwa ajili ya hotuba na mawaidha ya Maimamu wa Al-Azhar katika miongo kadhaa iliyopita.
18:18 , 2026 Aug 17
Wizara ya Awqaf ya Palestina yaandaa Mashindano ya 25 ya Qur’an ya Al-Aqsa

Wizara ya Awqaf ya Palestina yaandaa Mashindano ya 25 ya Qur’an ya Al-Aqsa

IQNA – Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kidini ya Palestina imetangaza kuwa Mashindano ya 25 ya Kuhifadhi na Tafsiri ya Qur’an ya Al-Aqsa yatafanyika kwa ushiriki wa wanaharakati wa Qur’an kutoka maeneo mbalimbali ya Ukanda wa Gaza.
18:11 , 2026 Aug 17
Baraza la Kimataifa la Qur’an laanzishwa mjini Istanbul, Uturuki

Baraza la Kimataifa la Qur’an laanzishwa mjini Istanbul, Uturuki

IQNA – Maafisa wa Maonyesho ya 11 ya Kimataifa ya Vitabu ya Istanbul wametangaza kuanzishwa kwa “Baraza la Kimataifa la Qur’an” (World Quran Assembly) pembezoni mwa siku ya kwanza ya hafla hiyo.
18:03 , 2026 Aug 17
1 2 3 4 5