IQNA

Mazuwari wa Arbaeen katika eneo la Bayna al-Haramayn mjini Karbala

Mazuwari wa Arbaeen katika eneo la Bayna al-Haramayn mjini Karbala

IQNA – Pamoja na kuwasili kwa mazuwari au wafanyaziara wa Arbaeen katika mji mtakatifu wa Karbala, eneo la Bayna al-Haramayn, lililopo kati ya maeneo mawili matakatifu walimozikwa Imam Hussein (AS.) na Hadhrat Abbas (AS), ni miongoni mwa maeneo ya jiji hilo yanayoshuhudia misururu mikubwa ya mazuwari.
19:28 , 2026 Aug 01
Kuzinduliwa kwa Msahafu wa Zaferani jijini Tehran

Kuzinduliwa kwa Msahafu wa Zaferani jijini Tehran

TEHRAN (IQNA) – Katika hafla adhimu iliyofanyika katika Ukumbi wa Hekmat, ndani ya Maktaba ya Kitaifa na Nyaraka za Iran, mnamo tarehe 29 Julai 2026, ulimwengu ulishuhudia kuzinduliwa kwa Msahafu wa Zaferani.
19:23 , 2026 Aug 01
Unafiki wa Kidini, Njia ya Marekani!

Unafiki wa Kidini, Njia ya Marekani!

IQNA – Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tunisia umekashifu Marekani kwa “Unafiki wa Kidini” kufuatia video inayoonyesha askari wa Marekani wakishiriki katika ibada ya sala.
07:46 , 2026 Aug 01
Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Malaysia ateuliwa

Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Malaysia ateuliwa

IQNA – Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini Malaysia amechaguliwa rasmi.
07:40 , 2026 Aug 01
Msafara wa Qur’ani wa Arbaeen wa Imam Ridha (A.S.) umeanza kuendesha vipindi vya Qur’ani mjini Najaf

Msafara wa Qur’ani wa Arbaeen wa Imam Ridha (A.S.) umeanza kuendesha vipindi vya Qur’ani mjini Najaf

IQNA – Kutokana na kuwasili kwa mazuwar au wafanyaziara wa Arbaeen, vipindi vya Qur’ani vya Msafara wa Qur’ani wa Arbaeen wa Imam Ridha (A.S.) vimeanza katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
07:35 , 2026 Aug 01
Washindi wa Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur’ani ya Balkan watunukiwa

Washindi wa Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur’ani ya Balkan watunukiwa

IQNA – Washindi wa Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur’ani ya Balkan walitangazwa na kutunukiwa katika hafla ya kufunga mashindano hayo.
07:29 , 2026 Aug 01
Idadi ya mazuwar  wa Arbaeen wanaoingia Iraq yakaribia milioni 3

Idadi ya mazuwar  wa Arbaeen wanaoingia Iraq yakaribia milioni 3

IQNA – Makao Makuu ya Usimamizi wa Ziara ya Arbaeen nchini Iraq yalitangaza siku ya Alhamisi kuwa idadi ya mazuwar au wafanyaziara wa kigeni walioingia nchini humo inakaribia kufikia milioni tatu.
07:26 , 2026 Aug 01
Arbaeen ni fursa adhimu ya kueneza utamaduni wa Qur’ani ulimwenguni

Arbaeen ni fursa adhimu ya kueneza utamaduni wa Qur’ani ulimwenguni

IQNA – Mkuu wa Makao Makuu ya Kitaifa ya Arbaeen nchini Iran amesisitiza kuwa, matembezi ya kila mwaka ya kiroho ya Arbaeen yana uwezo mkubwa usio na kifani katika kukuza na kueneza utamaduni wa Qur’ani Tukufu miongoni mwa mamilioni ya mazuwaru.
17:37 , 2026 Jul 29
Mwongozo mpya wa kanuni za Mashindano ya 46 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mfalme Abdulaziz

Mwongozo mpya wa kanuni za Mashindano ya 46 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mfalme Abdulaziz

IQNA –Mwongozo mpya wa kanuni za Mashindano ya Kimataifa ya 46 ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma, na Kufasiri Qur’ani Tukufu umezinduliwa rasmi.
17:28 , 2026 Jul 29
Idhaa ya Redio ya Qur’ani Tukufu ya Oman yaadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake

Idhaa ya Redio ya Qur’ani Tukufu ya Oman yaadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwake

IQNA – Idhaa ya Qur’ani Tukufu ya Usultani wa Oman imeadhimisha kumbukumbu ya miaka 20 tangu kuanza kurusha matangazo yake siku ya Jumatatu.
17:21 , 2026 Jul 29
Washindani 82 wa nchi 33 washiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Qatar

Washindani 82 wa nchi 33 washiriki katika Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu Qatar

IQNA – Hatua ya mchujo ya Mashindano ya Tatu ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya “Awali wa Waliotangulia” (First of the Firsts) imezinduliwa nchini Qatar.
17:09 , 2026 Jul 29
Zaidi ya Mazuwaru Milioni 1.8 wa Arbaeen kutoka nchi 172 wawasili Iraq

Zaidi ya Mazuwaru Milioni 1.8 wa Arbaeen kutoka nchi 172 wawasili Iraq

IQNA – Mkuu wa Kitengo cha Habari za Usalama nchini Iraq ametangaza kuwa jumla ya watu 1,813,188 kutoka nchi 172 tofauti wamewasili nchini humo hadi sasa kwa ajili ya kushiriki katika matembezi ya kiroho ya Arbaeen.
17:04 , 2026 Jul 29
Qari Mtajika Mohammad Javad Panahi Asoma Aya za Surah At-Tawbah

Qari Mtajika Mohammad Javad Panahi Asoma Aya za Surah At-Tawbah

IQNA – Msomaji mashuhuri wa Quran kutoka Iran na Qari anayetambulika kimataifa, Mohammad Javad Panahi, hivi karibuni alisoma aya za 111-112 za Surah At-Tawbah katika hafla maalum iliyofanyika ndani ya Haram Tukufu ya Imam Ridha (Amani Iwe Juu Yake - AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
13:43 , 2026 Jul 29
Maelfu ya Mazuwaru wa Arbaeen Wapita Mkoa wa Ilam Kuelekea Iraq

Maelfu ya Mazuwaru wa Arbaeen Wapita Mkoa wa Ilam Kuelekea Iraq

IQNA – Huku wimbi la ziara tukufu ya Arbaeen likiwa limeanza na mamilioni ya wapenzi maashiki wa Ahlul-Bayt wa Mtume Muhammad (SAW) kutoka Iran wakielekea mji mtukufu wa Karbala, mkoa wa Ilam, ambao ni moja a njia kuu na muhimu zaidi kwa ajili ya mazuwaru, unapokea na kuhudumia maelfu ya mazuwaru wa ndani na nje ya nchi kila siku. Katika njia hiyo, Mawkib (kituo cha huduma bila malipo) cha “Wapenzi wa Amir al-Mu’mineen (AS)” kinaendelea kutoa huduma kwa mazuwaru hao usiku na mchana bila kupumzika.
13:32 , 2026 Jul 29
Kisomo cha Aya za Sura Ash-Shura cha Qari wa Kimataifa wa Iran, Mohammad Javad Kashefi

Kisomo cha Aya za Sura Ash-Shura cha Qari wa Kimataifa wa Iran, Mohammad Javad Kashefi

IQNA – Mohammad Javad Kashefi, msomaji mahiri na mashuhuri wa Qur’ani Tukufu wa kimataifa kutoka nchini Iran, hivi karibuni ametoa kisomo cha kuvutia cha aya za 17 hadi 22 za Sura Ash-Shura pamoja na Sura Al-Asr.
17:30 , 2026 Jul 28
6 7 8 9