Habari Maalumu
IQNA – Qari kutoka Iran, Hamidreza Amadi-Vafa, amesema kuwa kusoma Qur’ani katika njia ya kutoka Najaf hadi Karbala wakati wa Arbaeen hujenga mazingira...
12 Aug 2025, 23:09
IQNA – Roboti za kielektroniki zinazoweza kuingiliana na watumiaji zimetumika katika toleo la 45 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika Makkah...
11 Aug 2025, 23:59
IQNA – Mufti Mkuu wa India amewahimiza maimamu wa misikiti mbalimbali nchini humo kuandaa dua maalumu na saumu kwa nia ya kuwasaidia Waislamu wa Gaza.
11 Aug 2025, 23:47
IQNA – Jukwaa la kielimu la Qur’ani kwa ajili ya wasiozungumza Kiarabu linazinduliwa nchini Saudi Arabia.
11 Aug 2025, 23:32
IQNA – Siku ya pili ya Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Mfalme Abdulaziz ya Kuhifadhi, Kusoma kwa Tajwidi na Kufasiri Qur’ani Tukufu ilishuhudia washiriki...
11 Aug 2025, 23:27
IQNA – Katika Ukanda wa Gaza uliokumbwa na vita, dada watatu wa Kipalestina wamekamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu yote, licha ya kuvumilia mashambulizi...
11 Aug 2025, 23:21
IQNA – Maonyesho ya sanaa yenye maudhui ya Qur’ani yameandaliwa kando ya njia ya Ziyara ya Arbaeen ili kuonesha thamani za harakati ya Imam Hussein (AS)...
10 Aug 2025, 23:53
IQNA-Mshambuliaji wa timu ya soka ya Liverpool, Mohamed Salah amekosoa hatua ya Muungano wa Vyama vya Soka vya Ulaya UEFA ya kumuenzi Suleiman Al-Obeid,...
10 Aug 2025, 23:46
IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Iran amesema kuwa matembezi Arbaeen yanabeba kanuni muhimu ambazo zinaweza kusaidia kuweka msingi wa kustawishwa upya kwa...
10 Aug 2025, 23:39
IQNA – Qari bora wa kiume wa Malaysia katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani mwaka huu nchini humo amesema kuwa kujifunza kutoka kwa mashaikh wa qiraa’ah...
10 Aug 2025, 23:32
IQNA – Wawakilishi wawili kutoka Malaysia wametwaa ubingwa katika Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Kusoma na kuhifadhi Qur’ani Tukufu ya Malaysia (MTHQA)...
10 Aug 2025, 08:45
IQNA – Maqari kutoka mataifa mbalimbali wanaendelea kushiriki katika kampeni ya Qur’ani Tukufu ya Fath kwa kuwasilisha video za kisomo chao cha maneno...
10 Aug 2025, 08:57
IQNA – Waziri Mkuu wa Malaysia amesema kuwa serikali yake itatenga ufadhili wa ziada kwa Yayasan Restu ili kuwezesha tafsiri ya Qur’ani Tukufu katika lugha...
09 Aug 2025, 20:25
IQNA – Viongozi wa moja ya misikiti mikubwa zaidi nchini Australia wamesema wamepokea vitisho vya kuuwawa baada ya kutangazwa mpango wa kuweka vipaza sauti...
09 Aug 2025, 20:16
IQNA – Mufti Mkuu wa Misri amesema kuwa akili mnemba (Artificial Intelligence – AI) haina mamlaka ya kutoa maamuzi ya Kiislamu au fatwa.
09 Aug 2025, 20:10
IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni tatu kutoka mataifa ya kigeni tayari wameingia Iraq kushiriki katika matembezi ya kila mwaka ya Arubaini, Waziri...
09 Aug 2025, 20:03