iqna

IQNA

Ibtihal
Waliobobea
IQNA – Muhammad Abdul Hadi Muhammad al-Hilbawi alizaliwa katika wilaya ya Bab al-Sharia mjini Cairo mnamo Februari 9, 1946, alianza kuhifadhi Qur’ani Tukufu akiwa mtoto chini ya uongozi wa babu yake.
Habari ID: 3478328    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Ta'azia
IQNA – Sheikh Zia al-Nazir, msomaji maarufu wa Ibtihal nchini Misri, alifariki dunia Jumamosi, Desemba 9.
Habari ID: 3478022    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/12

Taazia
CAIRO (IQNA) – Sheikh Abdul Rahim al-Dawidar, qari wa Qur’ani Tukufu na msomaji wa Ibtihal nchini Misri, alifariki akiwa na umri wa miaka 86.
Habari ID: 3477780    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/24

Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Mohammed na Iman ni kaka na dada wa Kimisri ambao umahiri wao katika usomaji wa Ibtihal umewapatia umaarufu nchini humo.
Habari ID: 3476977    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/08

Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /17
TEHRAN (IQNA) – Mohammed Ahmed Omran alikuwa qari mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri na msomaji wa Ibtihal (usomaji dua unaoshabihiana na qiraa ya Qur’ani Tukufu).
Habari ID: 3476407    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/15

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Misri Mostafa Madbouly ameidhinisha mpango wa kuandaa Duru ya Sita Ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya nchi hiyo huko Port Said.
Habari ID: 3475783    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/14

TEHRAN (IQNA)- Marhoum Sheikh Nasiruddin Toubar ni mashuhuri kwa qiraa ya Ibtihal katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3475227    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09