IQNA

Afisa wa Hizbullah: Kuuawa shahidi Imam Khamenei kumeimarisha  nguvu ya Muqawama

Afisa wa Hizbullah: Kuuawa shahidi Imam Khamenei kumeimarisha nguvu ya Muqawama

IQNA – Naibu Mkuu wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa kuuawa Shahidi Ayatullah Seyyed Ali Khamenei kumeongeza mara mbili nguvu ya makundi ya Muqawama wa Kiislamu na watu huru duniani kote.
20:47 , 2026 Jul 05
Waziri wa Malaysia: Shahidi Khamenei ni Kinara wa Uamsho wa Kiislamu kwa Ummah

Waziri wa Malaysia: Shahidi Khamenei ni Kinara wa Uamsho wa Kiislamu kwa Ummah

IQNA – Kiongozi mwandamizi wa Malaysia ameonyesha imani kuwa itikadi alizozisimamia na kuzipigania Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, zitaendelea kuishi na kudumu hata baada ya kuondoka kwake, akisema kuwa Uislamu utaendelea kusonga mbele kupitia mwongozo na msukumo wa kiongozi huyo.
20:39 , 2026 Jul 05
Video ya wimbo wa ‘Lazima Tuinuke’ yatolewa kwa Kiingereza

Video ya wimbo wa ‘Lazima Tuinuke’ yatolewa kwa Kiingereza

IQNA – Video ya wimbo wa kishujaa wenye jina la “We Must Rise” (Lazima Tuinuke) imetolewa rasmi kwa lugha ya Kiingereza ambapo muimbaji ni Mahdi Dardashtian. Wimbo huu ni kazi iliyosikika kwa sauti za huzuni katika majilisi za maombolezo katika majimbo mbalimbali nchini Marekani wakati wa usiku wa mwezi mtukufu wa Muharram. Kazi hii imedhihirisha mshikamano wa kina wa nyoyo za watu kutoka mataifa tofauti; watu waliojitokeza kuomboleza msiba wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kuonyesha mshikamano wa dhati na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Hili ni dhihirisho tosha kuwa huzuni hii haijafungwa na mipaka ya kijiografia, bali inagusa nyoyo za watu huru ulimwenguni kote, ikionyesha kuwa mapenzi kwa shakhsia wa haki hayajui mipaka.
17:57 , 2026 Jul 05
Tehran yakumbwa na majonzi katika Ibada ya kuaga mwili wa Imam Shahidi

Tehran yakumbwa na majonzi katika Ibada ya kuaga mwili wa Imam Shahidi

IQNA – Ibada ya kuaga mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei (Mwenyezi Mungu awe radhi naye), imeendelea kwa siku ya pili leo tarehe 5 Julai 2026, katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini (RA) uliopo Tehran. Mji wa Tehran umezama katika majonzi mazito huku mamilioni ya waombolezaji wakimiminika katika eneo la Musalla ili kutoa heshima za mwisho kwa shakhsia huyu mahiri na mlinzi wa Ummah. Hali ya huzuni imetawala kote, huku nyoyo za Waislamu zikiwa zimejaa msiba mkubwa wa kuondokewa na kiongozi wao shujaa aliyesimamia haki dhidi ya dhulma za ulimwengu.
17:47 , 2026 Jul 05
Ayatullah Subhani awaongoza mamilioni kuswalia mwili wa Kiongozi Shahidi Imam Khamenei mjini Tehran

Ayatullah Subhani awaongoza mamilioni kuswalia mwili wa Kiongozi Shahidi Imam Khamenei mjini Tehran

IQNA-Mamilioni ya waombolezaji wameshiriki Swala ya maiti ya mwili mtakatifu wa Imam shahidi Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, pamoja na kundi la wanafamilia wake watukufu iliyofanyika kwa uwepo mkubwa wa viongozi wa serikali, jeshi na umma kwa ujumla.
17:34 , 2026 Jul 05
Bendera na nara za Palestina zatawala Kombe la Dunia la 2026 huku mashabiki wakionyesha Mshikamano

Bendera na nara za Palestina zatawala Kombe la Dunia la 2026 huku mashabiki wakionyesha Mshikamano

IQNA – Mashindano ya Kombe la Dunia la 2026 yanafanyika kote Amerika Kaskazini, lakini “sauti” kuu ya michuano hiyo inayoimbwa bila shaka ni ile ya kuunga mkono Palestina.
12:33 , 2026 Jul 04
Wasomi wa Kiislamu Malaysia: Mazishi ya Ayatullah Khamenei yatoa ujumbe mzito nja ya mipaka ya Iran

Wasomi wa Kiislamu Malaysia: Mazishi ya Ayatullah Khamenei yatoa ujumbe mzito nja ya mipaka ya Iran

IQNA – Rais wa Baraza la Ushauri la Mashirika ya Kiislamu ya Malaysia (MAPIM) amesema kuwa mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, yanatoa ujumbe mzito unaovuka mipaka ya Iran.
11:20 , 2026 Jul 04
Viongozi wa nchi mbali mbali duniani wafika Tehran kutoa heshima kwa Kiongozi Shahidi

Viongozi wa nchi mbali mbali duniani wafika Tehran kutoa heshima kwa Kiongozi Shahidi

IQNA-Viongozi waandamizi wa Iran, marais na wakuu wa nchi, pamoja na wageni mashuhuri na wajumbe wa ngazi za juu kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamefika Tehran kutoa heshima zao kwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
10:41 , 2026 Jul 04
Wanaharakati wa Kimataifa watoa heshima za mwisho kwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu

Wanaharakati wa Kimataifa watoa heshima za mwisho kwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu

IQNA – Tangu alfajiri ya jana, Julai 3, jijini Tehran, kumekuwa na mwendelezo wa shughuli za heshima za mwisho kwa mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, na mashahidi wengine waliojitoa mhanga kwa ajili ya Uislamu na taifa la Iran. Shughuli hii muhimu inafanyika katika Musalla wa Imam Khomeini (RA).
10:14 , 2026 Jul 04
Msomi wa Yemen: Fikra za Umoja za Kiongozi Shahidi ni nguzo kuu ya Mhimili wa Muqawama

Msomi wa Yemen: Fikra za Umoja za Kiongozi Shahidi ni nguzo kuu ya Mhimili wa Muqawama

IQNA – Mchambuzi wa kisiasa wa Yemen amesema kuwa fikra za kuleta umoja za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ndizo zilijenga nguzo kuu ya kuanzishwa kwa “Mhimili wa Muqawama au Mapambano” (Axis of Resistance).
18:49 , 2026 Jul 03
Shughuli ya kumuaga Kiongozi Shahidi nchini Iraq kufanyika Julai 8

Shughuli ya kumuaga Kiongozi Shahidi nchini Iraq kufanyika Julai 8

IQNA-Mamilioni ya waumini wanatarajiwa kufurika katika miji mitakatifu ya Najaf na Karbala nchini Iraq kushiriki katika shughuli za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
18:18 , 2026 Jul 03
Mwanafalsafa wa Urusi Nukta za Kiroho za Kiongozi Shahidi

Mwanafalsafa wa Urusi Nukta za Kiroho za Kiongozi Shahidi

IQNA – Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, hakuwa tu mwanasiasa na mtaalamu mashuhuri, bali pia alikuwa kielelezo cha kanuni ya kiroho, kulingana na mwanafalsafa maarufu wa Urusi (Russia).
18:14 , 2026 Jul 03
Picha: Wageni wa Kigeni na Viongozi Mashuhuri Watoa Heshima kwa Mwili wa Imam Shahidi

Picha: Wageni wa Kigeni na Viongozi Mashuhuri Watoa Heshima kwa Mwili wa Imam Shahidi

IQNA – Katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sala a wa Imam Khomeini (MA) mjini Tehran siku ya Ijumaa, Julai 3, 2026, wageni wa kimataifa pamoja na maafisa mbalimbali walitoa heshima kwa mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei.
17:53 , 2026 Jul 03
Shughuli ya Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu imeanza Tehran

Shughuli ya Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu imeanza Tehran

IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza awamu ya kwanza ya taratibu za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, huku viongozi wa kimataifa na wanazuoni wa kidini wakifika katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini maarufu kama Mosalla mjini Tehran kutoa heshima zao za mwisho.
13:52 , 2026 Jul 03
Rais Pezeshkian: Mahudhurio Makubwa katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi ni ‘Jibu Imara’ kwa ubeberu na ugaidi

Rais Pezeshkian: Mahudhurio Makubwa katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi ni ‘Jibu Imara’ kwa ubeberu na ugaidi

IQNA-Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa umati mkubwa wa wananchi utakaojitokeza katika shughuli za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, utakuwa ni “jibu madhubuti” dhidi ya vitendo vya kigaidi, ukatili, na mbinu za kibeberu. Aidha, amebainisha kuwa tukio hilo litakuwa ni dhihirisho la wazi la umoja wa taifa la Iran na dhamira yake isiyotetereka katika kulinda uhuru na heshima ya nchi.
17:27 , 2026 Jul 02
14 15 16 17