IQNA

Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mohammed VI nchini Morocco yapangwa kufanyika Agosti

Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mohammed VI nchini Morocco yapangwa kufanyika Agosti

IQNA – Toleo la 20 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mohammed VI linatarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 10 hadi 12 Agosti, 2026.
09:54 , 2026 Jul 12
Iran yalipiza kisasi, yashambulia kambi za kijeshi za Marekani katike eneo

Iran yalipiza kisasi, yashambulia kambi za kijeshi za Marekani katike eneo

IQNA-Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo asubuhi vimetekeleza operesheni ya pamoja ya makombora na ndege zisizo na rubani dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani nchini Jordan, Kuwait, Qatar, Oman na Bahrain, ikiwa ni hatua ya kujibu mashambulizi endelevu ya Marekani dhidi ya maeneo ya kusini mwa Iran.
09:42 , 2026 Jul 12
Ayatullah Mojtaba Khamenei: Kulipiza kisasi cha damu ya Kiongozi Shahidi ni takwa la taifa

Ayatullah Mojtaba Khamenei: Kulipiza kisasi cha damu ya Kiongozi Shahidi ni takwa la taifa

IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Mojtaba Khamenei, ameeleza shukrani zake za dhati kwa mahudhurio “ya kustaajabisha, yenye kuvunja nguvu za adui na ya kihistoria” katika mazishi ya Kiongozi Shahidi, akisisitiza kuwa malipo ya kisasi dhidi ya “watenda jinai wauaji waliodhalilika” ni jambo la yakini.
16:40 , 2026 Jul 11
Elimu ya Qur’ani nyumbani inazidi kupata umaarufu nchini Algeria

Elimu ya Qur’ani nyumbani inazidi kupata umaarufu nchini Algeria

IQNA – Familia za Algeria zimeanza kuajiri walimu wa Qur’ani (wanaume na wanawake) ili kuwafundisha watoto wao nyumbani.
16:34 , 2026 Jul 11
Maelfu washiriki katika msafara wa maombolezo huko Kargil, India, kumuaga Imam Khamenei

Maelfu washiriki katika msafara wa maombolezo huko Kargil, India, kumuaga Imam Khamenei

IQNA – Msafara mkubwa wa kinembo wa maombolezo wenye anwani ya “Kumuaga Imam Khamenei” umefanyika huko Kargil, India, siku ya Alhamisi.
16:27 , 2026 Jul 11
Kiongozi Shahidi ni nembo ya heshima, utukufu, na mapambano

Kiongozi Shahidi ni nembo ya heshima, utukufu, na mapambano

IQNA – Kamati za Muqawama wa Palestina (Palestinian Resistance Committees) zimesisitiza kuwa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu aliyeuawa shahidi, Ayatullah Khamenei, atabaki kuwa alama ya heshima, utukufu, mapinduzi, na muqawama.
16:22 , 2026 Jul 11
Kuusindikiza Mwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi katika mji mtakatifu wa Mashhad

Kuusindikiza Mwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi katika mji mtakatifu wa Mashhad

IQNA-Hafla ya mapokezi na mazishi ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahid wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Husayni Khamenei, pamoja na mashahidi wa familia yake, ilifanyika siku ya Alhamisi, tarehe 9 Julai kuanzia Mtaa wa Imam Ridha (AS) kuelekea Haram Tukufu ya Ridha (AS) mjini humo.
17:18 , 2026 Jul 10
Msafara wa Mazishi ya Mwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi huko Najaf al-Ashraf, Iraq

Msafara wa Mazishi ya Mwili Mtukufu wa Kiongozi Shahidi huko Najaf al-Ashraf, Iraq

Shughuli ya kuusindikiza mwili mtukufu wa Imamu Mujahid Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (qaddasallahu nafsahu al-zakiyyah) ilifanyika siku ya Jumatano, tarehe 8 Julai , katika mji mtukufu wa Najaf al-Ashraf, kwa kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi waombolezaji wa Iraq. Baada ya msafara wa mazishi, Ayatullah Sayyid Muhammad-Taqi al-Hakim, mmoja wa wanazuoni wa Iraq, aliswalisha Swala ya Maiti ya mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ndani ya haram tukufu ya Amir al-Mu’minin Ali (AS).
17:14 , 2026 Jul 10
Mazishi ya Kiongozi Shahidi yameibadili taswira ya Iran duniani

Mazishi ya Kiongozi Shahidi yameibadili taswira ya Iran duniani

IQNA – Mazishi makubwa na yenye adhama ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, yaliyovuta mamilioni ya waombolezaji, hayakuwa tu hafla ya kitaifa, bali pia yamekuwa nukta ya mageuzi katika kuijenga upya taswira ya Iran katika medani ya kimataifa.
17:10 , 2026 Jul 10
Mkakati wa Kistaarabu wa Umoja wa Imamu Shahidi kwa Ummah wa Kiislamu: Mtazamo wa Msomi wa Bahrain

Mkakati wa Kistaarabu wa Umoja wa Imamu Shahidi kwa Ummah wa Kiislamu: Mtazamo wa Msomi wa Bahrain

IQNA – Msomi mwandamizi wa Bahrain amesema kuwa umoja katika mtazamo wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, si nembo tu ya kisiasa; bali ni neno-msingi katika mkakati wake wa kistaarabu wa kurejesha izza, heshima na mamlaka kwa Ummah wa Kiislamu.
17:02 , 2026 Jul 10
Mazishi ya Kiongozi Shahidi Najaf na Karbala: Sura ya Dhahabu katika Mahusiano ya Iran na Iraq

Mazishi ya Kiongozi Shahidi Najaf na Karbala: Sura ya Dhahabu katika Mahusiano ya Iran na Iraq

IQNA – Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa shukrani za dhati kwa wananchi na viongozi wa Iraq kwa ukarimu wao katika kuandaa msafara wa mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, wakati mamilioni ya waombolezaji walipofurika katika mitaa ya Najaf na Karbala katika dhihirisho la kihistoria la mshikamano.
16:48 , 2026 Jul 10
Imamu Shahidi azikwa Mashhad

Imamu Shahidi azikwa Mashhad

IQNA – Baada ya siku kadhaa za misafara ya mazishi na hafla za kuaga nchini Iran na Iraq, Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amezikwa kandokando ya haram tukufu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran siku ya Alhamisi.
16:33 , 2026 Jul 10
Mamilioni watoa heshima kwa Shahidi Khamenei nchini Iraq

Mamilioni watoa heshima kwa Shahidi Khamenei nchini Iraq

IQNA-Katika ujumbe uliotolewa mapema leo Alkhamisi, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) Brigedia Jenerali Esmail Qaani ametoa shukrani kwa taifa na serikali ya Iraq kwa maandalizi mazuri ya mazishi ya Kiongozi aliyeuawa shahidi wa Mapinduzui ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei na watu wa familia yake.
13:48 , 2026 Jul 09
Picha: Mazishi ya Kiongozi Shahidi Jijini Qom

Picha: Mazishi ya Kiongozi Shahidi Jijini Qom

IQNA – Wakazi wa mji mtakatifu wa Qom wamejitokeza kwa wingi kuusindikiza mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, katika mazishi yaliyofanyika Jumanne, Julai 7, 2026. Msafara wa mazishi hayo ulianzia katika Msikiti wa Jamkaran na kuelekea katika Haram takatifu ya Bibi Masoumeh (SA).
20:53 , 2026 Jul 08
Al-Khazali: Kiongozi Shahidi Alikuwa Mshika Bendera wa Haki Katika Zama Zetu

Al-Khazali: Kiongozi Shahidi Alikuwa Mshika Bendera wa Haki Katika Zama Zetu

IQNA – Katibu mkuu wa Harakati ya Asaib Ahl al-Haq nchini Iraq, Sheikh Qais Al-Khazali, amesema kuwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, alikuwa “mshika bendera wa haki katika zama zetu.”
20:50 , 2026 Jul 08
12 13 14 15