IQNA

Rais wa Zamani wa Nigeria apongeza Tafsiri ya Qur’ani kwa lugha ya Nupe

Rais wa Zamani wa Nigeria apongeza Tafsiri ya Qur’ani kwa lugha ya Nupe

IQNA – Rais wa zamani wa Nigeria, Ibrahim Badamasi Babangida, amepongeza kazi ya tarjuma na tafsiri ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Nupe, akiieleza kuwa ni mafanikio makubwa ya kihistoria.
10:35 , 2026 Jun 28
Hafla ya Kumuaga Kiongozi Shahidi yapangwa kufanyika Tehran

Hafla ya Kumuaga Kiongozi Shahidi yapangwa kufanyika Tehran

IQNA – Msafara wa mazishi ya Kiongoz Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei utafanyika mjini Tehran siku ya Jumamosi na Jumapili.
10:28 , 2026 Jun 28
Nida ya “Ya Hussein” Yatanda katika Msafara wa Tuwairij Mjini Karbala

Nida ya “Ya Hussein” Yatanda katika Msafara wa Tuwairij Mjini Karbala

IQNA – Mamilioni ya waombolezaji mjini Karbala wameshiriki adhuhuri ya Ijumaa ya Ashura katika msafara mkubwa na wa kihistoria wa Rakdhat Tuwairij.
15:45 , 2026 Jun 27
Mtafiti wa Kishia akamatwa Bahrain baada ya kuandika kuhusu Ashura

Mtafiti wa Kishia akamatwa Bahrain baada ya kuandika kuhusu Ashura

IQNA – Ukiendelea na mnyororo wake wa kimfumo wa kuzuia uhuru wa maoni na kukandamiza wataalamu na watendaji wa kiraia, ufalme wa kiimla wa Bahrain umemkamata mtafifi mwelekeo wa Shia.
15:21 , 2026 Jun 27
Hafla ya Kisomo cha Qur’ani Tukufu ya Ashura yafanyika Karbala

Hafla ya Kisomo cha Qur’ani Tukufu ya Ashura yafanyika Karbala

IQNA – Hafla ya kisomo cha Qur’ani Tukufu imefanyika siku ya Ashura katika mji mtukufu wa Karbala.
15:15 , 2026 Jun 27
Siku ya Ashura mjini Witu, Kaunti ya Lamu, Kenya

Siku ya Ashura mjini Witu, Kaunti ya Lamu, Kenya

IQNA-Waislamu wa mji wa Witu katika Kaunti ya Lamu, pwani ya Kenya wameshiriki katika maombolezo ya siku ya Ashura, ambayo ni kumbukumbu ya kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali (AS), watu wa nyumba yake na wafuasi wake watiifu katika uwanda wa Karbala, Iraq mwaka 61 Hijria Qamaria. Maadhimisho hayo yameandaliwa na Kituo cha Kiislamu cha Umul Banin mjini humo. Hizi hapa chini klipu za maombolezo hayo.
20:31 , 2026 Jun 26
Idadi Kubwa ya Mazuwaru wafurika Haram Takatifu ya Karbala kwa maombolezo ya Ashura

Idadi Kubwa ya Mazuwaru wafurika Haram Takatifu ya Karbala kwa maombolezo ya Ashura

IQNA – Haram takatifu ya Imam Hussein (AS) katika mji wa Karbala nchini Iraq ilijaa mazuwaru usiku wa kuamkia Ashura, ambao uliangukia usiku wa Alhamisi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
18:52 , 2026 Jun 26
Bendera za Ashura zapeperushwa katika kote Ulaya

Bendera za Ashura zapeperushwa katika kote Ulaya

IQNA – Maelfu ya Waislamu wa Kishia na wapenzi wa Ahlul-Bayt (AS) katika miji mbalimbali ya Ulaya waliinua bendera za maombolezo ya Muharram na kupaza mwito wa “Labayka Ya Hussein”.
18:48 , 2026 Jun 26
Majlisi za Maombolezo ya Ashura zafanyika kwenye kaburi la Shahidi Nasrallah

Majlisi za Maombolezo ya Ashura zafanyika kwenye kaburi la Shahidi Nasrallah

IQNA – Hafla ya maombolezo ya Ashura iliandaliwa siku ya Ijumaa kwenye kaburi la shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, aliyekuwa Katibu Mkuu wa harakati ya mapambano ya Hizbullah ya Lebanon.
18:43 , 2026 Jun 26
Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Yaandaa Khitma ya Qur’ani Katika Maadhimisho ya Ashura

Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Yaandaa Khitma ya Qur’ani Katika Maadhimisho ya Ashura

IQNA – Kwa mnasaba wa kuwasili kwa siku za Tasua na Ashura, yaani tarehe ya tisa na ya kumi ya mwezi wa Muharram, Jumuiya ya Qur'ani nchini Iran iliendesha ibada ya jadi ya Khatma ya Qur’ani, yaani usomaji wa Qur’ani Tukufu kuanzia mwanzo hadi mwisho wake.
18:36 , 2026 Jun 26
16 17