iqna

IQNA

palestina
Wapalestina katika Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Rais wa Jumuiya ya Wahubiri wa Kiislamu Palestina ametoa wito kwa Waislamu wote wanaofunga mwezi mtukufu wa Ramadhani waombe dua kwa ajili kukomeshwa mateso na masaibu wanayokumbana nao watu wa Gaza.
Habari ID: 3478495    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/12

Watetezi wa Palestina
IQNA - Wnawake wanaharakati wanaounga mkono Palestina wameandamana katike eneo la Freedom Plaza katika mji mkuu wa Marekani, Washington, DC, kutangaza mshikamano na wanawake wa Ki palestina wanaoteseka huko Gaza, huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendeleza mauaji ya kimbari katika eneo hilo.
Habari ID: 3478472    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/09

Hali ya Palestina
IQNA - Mashambulio yasiyokoma ya utawala katili wa Israel kwenye Ukanda wa Gaza uliozingirwa yamewanyima Waislamu duniani furaha ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478469    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08

Jinai za Israel
IQNA - Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake hii leo, ofisi ya vyombo vya habari vya serikali huko Gaza imeomboleza wanawake 8,900 wa Ki palestina waliouawa tangu Oktoba wakati utawala katili wa Israel ulipoanza mauaji ya kimbari dhidi ya Wa palestina katika eneo hilo.
Habari ID: 3478468    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/08

Kadhia ya Palestina
IQNA - Utawala wa Kizayuni wa Israel unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina umetangaza siku ya Jumanne kwamba utawaruhusu waumini kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika eneo la Quds (Jerusalem) katika wiki ya kwanza ya mwezi wa Ramadhani, na hivyo kutupilia mbali mpango wa awali wa kuweka vizuizi.
Habari ID: 3478461    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06

Kadhia ya Palestina
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepanda mzeituni katika hatua ambayo ameitaja kuwa ni mshikamano na wananchi wanaodhulumiwa wa Palestina.
Habari ID: 3478453    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/05

Kadhia ya Palestina
IQNA - Makundi kadhaa ya wapigania ukombozi wa Palestina yametoa wito kwa watetezi wa haki kote ulimwenguni kujiunga na kampeni ya kimataifa iliyopewa jina la "Kimbunga cha Ramadhani.
Habari ID: 3478449    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/04

Jinai za Israel
IQNA-Viongozi wa dunia wameendelea kulaani kitendo cha wanajeshi wa Israel kuwaua Wa palestina 116 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 760 waliokuwa wakisubiri msaada wa chakula katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3478438    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/02

Jinai za Israel
IQNA - Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al-Mustafa kinapanga kuandaa kongamano la kimataifa la "Miaka 75 ya kukaliwa kwa mabavu Palestina".
Habari ID: 3478437    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/01

Uchaguzi wa Iran
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema: Maadui wa Iran ya Kiislamu wana hofu ya kushiriki kwa wingi kwa wananchi katika uchaguzi hapa nchini.
Habari ID: 3478428    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/28

Watetezi wa Palestina
IQNA-Waziri Kiongozi wa Scotland Humza Yousaf ameitaka Serikali ya Uingereza kusitisha uuzaji wa silaha kwa utawala wa Israel kutokana na utawala huo wa Kizayuni kuendeleza mauaji ya kimbari ya raia Wa palestina katika Ukanda Gaza.
Habari ID: 3478417    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/26

Jinai za Israel
IQNA-Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.
Habari ID: 3478363    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Harakati za Qur'ani
IQNA - Makumi ya watoto huko Rafah, kusini mwa Gaza, ambao wamehitimu katika mafunzo ya
Habari ID: 3478360    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/16

Watetezi wa Palestina
IQNA - Hatua za kivita za utawala wa Israel huko Rafah "zinathibitisha" usahihi wa kesi ya mauaji ya kimbari dhidi ya utawala huo katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini amesema.
Habari ID: 3478356    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/15

Watetezi wa Palestina
IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah kusini mwa Gaza, na kuonya kuhusu maafa ya binadamu katika eneo hilo.
Habari ID: 3478350    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Jinai za Israel
IQNA-Utawala katili wa Israel umeendeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wa palestina katika Ukanda wa Gaza kwa kutekeleza mashambulizi makubwa ya anga na mizinga katika mji wa Rafah kusini mwa ukanda huo na kuua na kujeruhi mamia ya raia wengi wao wakiwa wanawake na watoto.
Habari ID: 3478339    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12

Jinai za Israel
IQNA - Msichana wa Ki palestina mwenye umri wa miaka sita, ambaye alikuwa ametoweka kwa wiki mbili baada ya gari la familia yake kufyatuliwa risasi na wanajeshi katili wa utawala haramu wa Israel, alipatikana amekufa.
Habari ID: 3478327    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10

Jinai za Israel
IQNA-Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Ki palestina (UNRWA) limeonya kwamba mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya mji wa mpakani wa Rafah wenye msongamano mkubwa wa watu Gaza yatakuwa "kichocheo cha maafa."
Habari ID: 3478326    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09

Watetezi wa Palestina
IQNA - Mashabiki wa soka wanamtaja Mousa Mohammad Mousa Sulaiman Al-Tamari kama "Messi wa Jordan".
Habari ID: 3478318    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/07

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano yalifanyika mjini Brussels siku ya Jumatatu kupinga jinai ya Israel dhidi ya Wa palestina katika Ukanda wa Gaza ikiwa ni pamoja na mauaji ya waandishi wa habari.
Habari ID: 3478311    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/06