iqna

IQNA

Ramaphosa
TEHRAN (IQNA) - Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amewatumia Waislamu salamu kwa mnasba wa kuwadia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472705    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/26

Rais wa Afrika Kusini
TEHRAN (IQNA) - Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema mapendekezo ya Rais Donald Trump kwenye 'muamala wa karne' kuhusu Palestina yanashabihiana na mfumo wa kipindi cha utawala wa ubaguzi wa rangi (apatheidi) uliowahi kutawala nchi yake.
Habari ID: 3472459    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/10

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa anataraji kwamba Wamarekani watahitimisha hatua zao ghalati, lakini iwapo watatekeleza hatua nyingine iliyo dhidi ya maslahi ya Iran, basi watapata jibu kali mkabala.
Habari ID: 3472359    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/10