Waislamu wanaokandamizwa Myanmar wakimbilia Bangladesh+PICHA
TEHRAN (IQNA) Makumi ya maelfu ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wanaokandamizwa na kuangamizwa kwa umati nchini Myanmar wanakimbilia katika nchi jirani ya Bangladesh. Hizi ni baadhi ya picha za Waislamu hao waliodhulumiwa na ambao sasa wanatafuta hifadhi.