Habari Maalumu
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku...
28 Mar 2024, 04:34
Diplomasia ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, Muqawama (mapambano ya Kiislamu) usio na kifani wa vikosi vya Muqawama...
27 Mar 2024, 13:21
Harakati ya Qur'ani
IQNA - Katika kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imam Hassan Mujtaba (AS), mkusanyiko mkubwa zaidi wa wanaharakati Qur'ani Tukufu nchini Iran umefanyika...
27 Mar 2024, 13:35
Mashindano ya Qur'ani
IQNA- Fainali za 24 za Mashindano ya Quran Tukufu Afrika yaliyoandaliwa na Taasisi ya Al Hikma Foundation kwa kushirikisha nchi mbalimbali 22 za Afrika...
27 Mar 2024, 14:14
Mwezi wa Ramadhani
Dua hizi za kila siku za Mwezi wa Ramadhani husomwa toka mwanzo ya tarehe mosi Ramadhani hadi siku ya mwisho katika mwezi huu mtukufu. Kila dua ina siku...
27 Mar 2024, 04:59
Ukanda wa Gaza
IQNA – Mjumuiko mkubwa wa futari umefanyika katika mji wa Rafah, kusini mwa Gaza, licha ya kuendelea mashambulizi ya utawala haramu Israel dhidi ya mji...
26 Mar 2024, 16:02
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Hafla itafanyika katika toleo la 31 la Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran kuwaenzi wanaharakati na watumishi kadhaa mashujaa wa Qur'ani...
26 Mar 2024, 15:50
Chuki dhidi ya Uislamu
IQNA - Jumuiya ya Wanafunzi Waislamu wa Kisomali (SSA) ya Chuo Kikuu cha Washington Seattle (SSA) imelengwa kwa barua ya chuki dhidi ya Uislamu.
26 Mar 2024, 15:37
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ni fursa ya kujenga maingiliano na ushirikiano kati ya mataifa ya Kiislamu katika nyanja tofauti...
26 Mar 2024, 15:07
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mwakilishi wa Iran katika Mashindano ya 20 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tanzania ameshika nafasi ya tatu.
25 Mar 2024, 18:44
Shujaa
IQNA - Mvulana mwenye umri wa miaka 15 anayeitwa Islam amesifiwa baada ya kuokoa zaidi ya watu 100 wakati wa shambulio la kigaidi kwenye ukumbi wa tamasha...
25 Mar 2024, 18:30
Waislamu China
IQNA - Sheikh Yaqub Mashidu ni msanii wa Kichina na mfasiri wa Qur'ani ambaye amehudhuria Awamu ya 31 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran.
25 Mar 2024, 18:11
Maonyesho ya Qur'ani
IQNA - Kongamano la kujadili masomo ya Qur'ani nchini Russia au Urusi limefanyika kama sehemu ya Maonyesho ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tehran.
25 Mar 2024, 14:32
Waislamu Uingereza
IQNA - Ufafanuzi wa hivi majuzi wa itikadi kali uliopendekezwa na serikali ya Uingereza umelaaniwa kwa kuwalenga Waislamu nchini humo.
24 Mar 2024, 15:13
Qur'ani Tukufu
IQNA - Toleo la 4 la Mashindano ya Familia ya Qur'ani lilianza nchini Kuwait siku ya Ijumaa.
24 Mar 2024, 14:51
Mwezi wa Ramadhani
IQNA – Hii ni qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 14 ya Qur'ani ya Qari mashuhuri wa Iran Hamidreza Ahmadivafa.
25 Mar 2024, 11:32