IQNA

Uharibifu ulioachwa na Wazayuni katika Mashambulizi ya Mabomu siku ya 48

AL-QUDS (IQNA)-Wakati wa usitishaji vita kati ya Hamas na Israel ulipoanza kutekelezwa siku ya Ijumaa, Wapalestina waliokuwa wakirejea katika Nyumba zao waligundua kuwa mji wao Umekuwa magofu, Umeharibiwa.