iqna

IQNA

Qassem Soleimani
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
THERAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema pigo la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kwa adhama ya Marekani ni jambo ambalo limepelekea nchi hiyo ifedheheke na kuongeza kuwa: "Pigo hilo kubwa na lenye nguvu haliwezi kufidiwa kwa chochote na hivyo hatua ya hivi karibuni ya Marekani ya kuongeza vikwazo haiwezi kuondoa fedheha hiyo."
Habari ID: 3472379    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/17

TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Ivory Coast wamefanya kikao cha kumuenzi na kumkumbuka Luteni Jenerali Qassem Soleimani , aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na mashahidi wenzake waliouawa hivi karibuni na askari magaidi wa Marekani nchini Iraq.
Habari ID: 3472373    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/15

TEHRAN (IQNA) – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu Zimbabwe limelaani vikali hatua ya Marekani kutekeleza hujuma ya kigaidi na kumuua Luteni Jenerali Haj Qassem Soleimani na wanamapambano wenzake hasa Abu Mahdi al Muhandis.
Habari ID: 3472369    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/13

TEHRAN (IQNA) - Mbunge Muislamu Marekani apinga sera za Trump dhidi ya Iran na kusema vikwazo na vita vya kiuchumi ni hatua ambazo zinakinzana na sera za kupunguza taharuki.
Habari ID: 3472356    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/09

TEHRAN (IQNA) -Khitma kwa mnasaba wa kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na wanajihadi wenzake katika hujuma ya kigaidi ya Marekani mefanyika leo hapa Tehran katika Husseiniya ya Imam Khomeini kwa kuhudhuriwa na Kingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei.
Habari ID: 3472355    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/09

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia majibu makali yaliyotolewa usiku wa kuamkia leo na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC ya kuwashambulia magaidi wa Kimarekani katika kambi zao mbili za kijeshi nchini Iraq na kusema kuwa, majibu kamili ya Iran kwa jinai za Wamarekani ni kukatwa miguu yao kwenye eneo hili.
Habari ID: 3472354    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/08

TEHRAN (IQNA) –Wananchi wa Nigeria wameshiriki katika maandamano ya kulaani jinai ya Marekani ya kumuua shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani na Abu Mahdi al Muhandis.
Habari ID: 3472351    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/07

TEHRAN (IQNA) -Bintiye Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani zifahamu kuwa, kuuawa shahidi baba yake kutibua mwamko mkubwa na kuimarisha harakati za mapambano au muqawama katika eneo.
Habari ID: 3472342    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/06

TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amefika Tehran kushiriki katika shughuli ya mazishi ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na mashahidi wenzake.
Habari ID: 3472341    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/06

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tarehe 3 Januari 2020 ambayo ni siku ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC, ni mwanzo wa historia mpya katika eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3472337    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/05

TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani amesema: Jina la Luteni Jenerali Qassem Soleimani litaheshimika na kubakia milele katika historia ya taifa la Iran na wapigania uhuru duniani.
Habari ID: 3472334    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/04

TEHRAN (IQNA) – Wananchi wa Nigeria wamendamana kulaani jinai ya Marekani ya kumuua kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani , Kamanda wa Kikosi cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Habari ID: 3472332    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/04

Kufuatia dikrii ya Kiongozi Muadhamu
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Khamenei ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa Iran amemteua Brigedia Jenerali Esmail Qaani kuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
Habari ID: 3472331    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/04