IQNA

Mavuno ya zabibu nchini Iran

TEHRAN (IQNA)- Mavuno ya zabibu yanaendelea wilayani Karun katika jimbo la Khuzestan la Iran na shughulihiyo itaendelea hadi mwezi Agosti. Wilaya ya Karun iko 22 km kutoka mji wa Ahvaz kusini mwa Iran.