IQNA

Kongamano la 15 la Kimataifa la Wanawake Watafiti wa Qur'ani

Kongamano la 15 la Kimataifa la Wanawake Watafiti wa Qur'ani lilifanyika Alhamisi 27 Novemba katika Ukumbi wa Quds Razavi wa Maktaba Kuu ya Haram ya Imam Ridha AS. Mkutano huo ulihudhuriwa na idadi kubwa ya wanawake watafiti wa Qur'ani na wasomi pamoja na maafisa wa serikali.